Thursday, November 24, 2011

SUMMARY OF WEEK NEWS

T-Pain feat. Lil Wayne – Bang Bang Pow Pow (Lyric Video)

LES WANYIKA - SHAURI YAKO

TIGER EYES TOKA A-TOWN KICHWA KIPYA KWENYE GAME

Mwanadada Tiger Eyes toka Arachuga anawaasa madem wote wanaofanya game wakaze buti mana yuko tight zaidi .Niko serious sana na mziki chalaangu" asema Nemy a.k.a Tiger Eyes mwanadafada anaye rap na kuimba na kudance katika crew la "NewKings" toka Arusha..."Noizmekah kwa dx ndio niliporekodia ngoma yangu hii ya "Grind on"Producer Mosco ambae ameunda beat na vocal kasimamia Dx mpaka ngoma kukamilika na kuwafikia wadau ma mashabiki zangu wote Tanzania na Dunia nzima,Sasa nakaribia kumaliza masomo.Heshima ziende kwa Mungu kuniweka hai na Mama kwa kunisuport katika muziki,Producer wangu

GANGWE MOB WAJITOA KATIKA UZINDUZI WA ANTI VIRUS-WATAPANDA STAGE MOJA NA DMX NA FABOLOUS

Wakati ndio kwanza wadau wakiwa macho na hamu ya kusubiri show kubwa ya Vinega,ili kuzindua Anti Virus ,mambo si mazuri kwa upande huo,Pro-24 imepata taharifa kwaba vijana wa Gangwe Mob hawatashiriki katika show hiyo ambayo inatarajiwa kufanyika Nov 26 katika viwanja vya Posta Kijitonyama Jijini Dar es Salaam.Gangwe Mob ikiwa inaundwa na Inspector Harun na Luten Kalama. Pro-24 ikaamua kukutana na wasanii husika na kuzungumza ili kupata ukweli wa jambo hilo,Inspector alisema"ni kweli sisi kama Gangwe Mob Hatutashiriki katika show ya Vinega kutokana na Longolongo katika swala zima la malipo,waandaaji wanasema tutalipwa baada ya kupatikana viingilio mlangoni show isipolipa ina maana hakuna kitakacholipwa ila Tumepata kazi Nov 26 tutakuwa Leders Club kwenye show ya Dmx na Fabolous.Ila kimuonekano mara baada ya kuzungumza nao inaonekana Kalama bado ana nia ya kushiriki katika show ya vinega nini kitafata endelea kufatilia...

JE CHRISTINA AGUILERA NI MJAMZITO..?

Juzi Jumapili Mwanamama Christina Aguilera,alikuwa kati ya wasanii walioalikwa na kupata nafasi ya kuimba katika tamasha la American Music Awards Sunday night,Mwanamama huyo alipanda jukwaani na kuimba kibao chake ambacho kinafanya vyema katika chat mbalimbali kote Duniani, "Moves Like Jagger"wakati akiwa katika stage Mashabiki mbali mbali walianza kupiga kelele kwa kumshangilia huku wengine wakisema ni Mjamzito..Tazama hizo picha je ni kwamba ana ujauzito au amenenepa tu.?

Drake Ajiachia Kwenye 2011 American Music Awards na J-Lo Amchanganya Pitbull kinomanoma.....



Dj Whiteowl Drop That - R&B 79

download now

BONGO FLEVA EXCLUSIVE 008

NDOA YA SURATA & RUBEN STUDDARD CHALII

Mshindi wa American Idol (Season 2),Ruben Studdard ametangaza rasmi kwamba ameachana na mke wake,mara baada ya ndoa yao iliyodumu kwa takribani miaka mitatu tu.mke wake ambaye anajulikana kama Surata Zuri Mc Cants.Kwa mujibu wa chanzo cha habari hakijaweka bayana kilichosababisha ndoa hiyo kuvunjika...

SARA LEAL AVUNJA NDOA YA DEMI MOORE NA ASHTON KUTCHER

Ndoa ya nyota wa filamu wa huko Hollywood Demi Moore 49 na mumewe Ashton Kutcher 33 imevunjika mara baada ya kudumu kwa muda wa miaka sita.Taarifa aliyotoa Moore amesema ndoa yake ilikuwa katika matatizo tangu mwezi September,Mara baada ya Mwanamitindo Sara Leal alipoviambia vyombo vya habari kuwa alilala na Ashton Kutcher mara mbili,Baada ya kila mmoja kuvutiwa na mwenzake...

Monday, November 21, 2011

PATTI LA BELLE ASHITAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA MANHATTAN

Muimbaji wa muziki wa R&B Soul,Patti La Belle,anakabiliwa na kesi katika mahakama moja,nchini Marekani,kwa kile anachodaiwa alimfokea mam aliyekuwa amebeba mtoto mchanga ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miezi 18.Familia ya Kevin na Roseanna Monk,wamefungulia mashitaka mwanamama huyo kutokana na kuwabwatukia kwa kusema "Mnafanya nini hadi mnamuacha mtoto wenu akikimbia ovyo vile Pumbafu"Pia mwanamuziki Patti amedaiwa aliwamwagia maji usoni  mama na mtoto huyo..

AMAs 2011: WINNERS LIST


The 2011 AMAs featured music's biggest names live from Los Angeles' Nokia Theater for a star-studded night of performances and awards. The evening belonged to the ladies, with Taylor Swift taking home the top prize for Artist of the Year as well as Favorite Country Album and Country Female Artist. Adele walked away with the awards for Favorite Pop Female, Pop Album and Favorite Adult Contemporary Artist. Nicki Minaj also had her hands full at the end of the night -- the Pink Lady took home Favorite Hip-Hop Album and Favorite Hip-Hop Artist. Missed the show? Check out the full list of winners below!

Artist of the Year - Taylor Swift
Sprint New Artist of the Year: Hot Chelle Rae


Pop Music:
Favorite Pop/Rock Band/Duo/Group: Maroon 5
Favorite Male: Bruno Mars
Favorite Female: Adele
Favorite Pop Album: Adele, '21'

Country Music:
Favorite Female: Taylor Swift
Favorite Male: Blake Shelton
Favorite Band, Duo or Group: Lady Antebellum
Favorite Country Album: Taylor Swift, 'Speak Now'

Latin Music:
Favorite Artist: Jennifer Lopez

Soul/R&B Music:
Favorite Female: Beyonce
Favorite Male: Usher
Favorite R&B Album: Rihanna, 'Loud

'
Rap/Hip-Hop Music:
Favorite Artist: Nicki Minaj
Favorite Hip-Hop Album: Nicki Minaj, 'Pink Friday'

Alternative Rock Music:
Favorite Artist: Foo Fighters

Contemporary Inspirational
Favorite Artist: Casting Crowns

Adult Contemporary Music
Favorite Artist: Adele

SHILOLE AKIMBILIA KATIKA MUZIKI WA MDUARA


Msanii wa Filamu Nchini Zuweza Mohamed almaharufu kwa jina la Shilole,ameamua kugeukia katika uimbaji na tayari ameshatunga na kurekodi wimbo mmoja ambao ameubatiza kwa jina Marijani Lawama.Amesema wimbo huo huvi karibuni ameutengenezea Video na upo katika maadhi ya Mduara,ndani ya wimb huo kawashirikisha wasanii wenzake wa filamu ambao hakutaka kuwataja.Akiongea na pro24 kwa njia ya simu amesema,"napenda sana kuimba muziki ila katika maadhi ya mduara,nimeanza na huo na mashabiki wakae mkao wa kula muda simrefu wataanza kuusikia na kuona katika vituo vya Radio na Television..

ANTI VIRUS KUWASHA MOTO JUMAMOSI NOV 26 DAR

Tamasha la Anti Virus linatarajiwa kufanyika Jumamosi ya Tarehe 26 Mwezi huu.Jijini Dar es Salaam,Kwa Mujibu wa Mh Sugu amesema wasanii ambao mpaka sasa wamethibitisha kushiri katika Tamsha hilo ni Mh sugu mwenyewe na wengine ni Soggy Doggy,Rama D,Mapacha,Manzese Crew,Big Dogg Pose,Suma G,Mkolooni,Adili,Gangwe Mob,Mabaga Fresh,Dk Levy,Danny Msimamo ,Lwp,Tamasha hilo linalotarajiwa kuanza saa 12 jioni hadi saa sita za usiku.Mr amesema "tunatarajia tamasha hili litakuwa zuri na la kuvutia na litakuwa tamasha la aina yake katika kumaliza mwaka Tunaomba wadu wajotokeze kwa wingi."

No comments:

Post a Comment

hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you

Featured Post

RDC-Election : élections en 2017 ou sanctions de l’UE

Comme annoncé il y a quelques jours, les ministres des Affaires Etrangères des 28 Etats membres de l’UE (Union Européenne) s...