Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji watoto wa Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki April 1, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza ‘Vatican’ jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
Rais Kikwete akisalimiana na mdogo wake Kanumba ajulikanae kama Seki alipowasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza ‘Vatican’ jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza ‘Vatican’ jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza ‘Vatican’ jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa

No comments:
Post a Comment
hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you