Tuesday, June 19, 2012

BONGO KUME NUKA


MMILIKI WA NYUMBA YA WEMA HUYU HAPA


Siku chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa mjengo huo ameibuka.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil kwenye michongo yake.
“Unajua Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa anasafiri kwenda nchini Brazil

WOLPER ANYANG’ANYWA GARI

Mwigizaji ‘five star’ kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang’anywa ‘mkoko’ (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
Habari zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang’anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira’ za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop’ kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro’ mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa…


Wema Sepetu.
Shakoor Jongo na Musa Mateja
WASWAHILI husema ‘penzi ni kikohozi, kulificha huwezi’, use

mi huo ulidhihirika Juni 15, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar ambapo kulikuwa na shindano la kumpata Miss Dar City Centre wa mwaka 2012/13.

Katika shindano hilo, staa wa Muziki wa Bongo Fleva anayeng’aa vizuri kwa sasa, Naseeb Abdul ‘Diamond’ alijikuta akilazimishwa na nguvu ya umma kujirudi kwa mchumba wake wake wa zamani, Wema Isaac Sepetu.


SOURCE: GLOBAL PUBLISHES 
             TEENTZ

No comments:

Post a Comment

hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you

Featured Post

RDC-Election : élections en 2017 ou sanctions de l’UE

Comme annoncé il y a quelques jours, les ministres des Affaires Etrangères des 28 Etats membres de l’UE (Union Européenne) s...