WOLPER NA WEMA SEPETU HAKUNA MBABE - WATOKA DROO
Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suruhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini.
PICHA NA GPLHIVI NDIVYO WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA WALIVYOSHANGILIA USHINDI WAO DHIDI YA WABUNGE MASHABIKI WA YANGA
Mbunge wa Chadema na mshabiki mkubwa wa Simba Zitto Kabwe akishangilia baada ya kufunga penati |
Wapinzani Bungeni Washkaji dimbani - Zitto Kabwe na William Ngeleja wakiongoza ushangiliaji wa wabunge wa Simba. |
Wachezaji wa Simba (Wabunge) wakishangilia ushindi baada ya kuwafunga watani wao wa Yanga (Wabunge) kwa penalti 3-2.
Add caption |
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga (Wabunge) wakati wa TAMASHA LA MATUMAINI ambapo wabunge wapenzi wa timu ya Simba wameibuka kidedea kwa penalti 3-2. Simba wamefunga penalti 3 wakati Yanga wakifunga 2.
No comments:
Post a Comment
hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you