MUSIC AWARDS 2012 NDANI YA MLIMANI CITY USIKU HUU
Waendeshaji wa hafla ya utoaji wa tuzo za Muziki Tanzania walikuwa ni Milard Ayoo na Vanessa Mdee.
Mshindi wa tuzo ya Wimbo Bora wa Zouk Rhumba,Ali Kibaa akikabidhiwa tuzo yake na Mwanadada Dina Marios wa Clouds Fm na Mkongwe Rainfred Masako wa ITV. Mshindi wa tuzo ya Dancehall,Quen Darlin akiifurahia tuzo yake mara baada ya kukabidhiwa usiku huu. Ali Kiba akitoa shukrani baada ya kupata tuzo.
Mkongwe katika Tasnia ya Muziki wa Taarab nchini,Bi. Shakira akiimba moja ya nyimbo zake alizowahi kuziimba kipindi cha nyuma.
Amin,Chaz Baba na Barnaba wakitumbuiza
Rachel akionyesha kizunguzungu chake.
Dayna akifanya vitu vyake.
Ali Kiba na Dada yake
Milard Ayoo na Vanessa Mdee.
Ommy Dimpoz,Diamond na Khaled Chokoraa wakitumbuza moja ya nyimbo za Msondo ngoma.
Babu Tale akitoa shukrani kwa niaba ya Suma Lee.
Roma Mkatoliki akiwashukuru mashabiki wake waliomfanya apate tuzo ya mwanahip hop bora.
Mzungu akiimba moja ya nyimbo za Lady Jay Dee.
Mzee Majuto na Sharobaro.
Ommy Dimpoz akipokea tuzo yake toka kwa Mzee Majuto na Sharobaro
Bi Shakira.
Bendi.
A.T a.k.a Mzee wa Kifuu Pembe akishukuru mashabiki wake.
Isha Mashauzi baada ya kupata tuzo yake sasa ni shukrani.
Mzee Hamza Kalala na Da' Shamim Mwasha wakikabidhi tuzo ya Wimbo bora wa Bendi kwa kiongozi wa bendi ya Twanga pepeta,Luiza Mbutu.
Khadija Kopa.
Roma Mkatoliki akiwa na wakongwe.
Kitokololo ndie rapa bora wa bendi.
No comments:
Post a Comment
hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you