CRISTIANO RONALDO RICHEST FOOTBALL PLAYER
Bondia wa kimataifa wa Marekani aliyepo jela kwa sasa Floyd Mayweather Jr. ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndio mwanamichezo anayeingiza fedha nyingi kwa mwaka, akiwa amepeleka banki dola millioni 85,000,000 katika kipindi cha miezi 12 iliyopita. Mayweather anafuatiwa na mpinzani wake mfilipino Manny Pacquiao aliyeingiza kiasi cha $62 million.
![]() |
| Wacheza soka matajiri zaidi duniani. |
Pamoja na mchezo wa soka kuwa ndio maarufu zaidi lakini wacheza soka million.
![]() |
| Mchezaji anayelipwa zaidi kwenye lgi kuu ya England |
kwenye Top 50 ya wanamichezo wanaolipwa fedha nyingi duniani.
#1 Floyd Mayweather
Total earnings: $85 million
#2 Manny Pacquiao
Total earnings: $62 million
#3 Tiger Woods
Total earnings: $59.4 million
#4 LeBron James
Total earnings: $53 million
#5 Roger Federer
Total earnings: $52.7 million
#6 Kobe Bryant
Total earnings: $52.3 million
#7 Phil Mickelson
Total earnings: $47.8 million
#8 David Beckham
Total earnings: $46 million
#9 Cristiano Ronaldo
Total earnings: $42.5 million
#10 Peyton Manning
Total earnings: $42.4 million
*******************************************************
#11 Lionel Messi
Total earnings: $39 million
Total earnings: $85 million
#2 Manny Pacquiao
Total earnings: $62 million
#3 Tiger Woods
Total earnings: $59.4 million
#4 LeBron James
Total earnings: $53 million
#5 Roger Federer
Total earnings: $52.7 million
#6 Kobe Bryant
Total earnings: $52.3 million
#7 Phil Mickelson
Total earnings: $47.8 million
#8 David Beckham
Total earnings: $46 million
#9 Cristiano Ronaldo
Total earnings: $42.5 million
#10 Peyton Manning
Total earnings: $42.4 million
*******************************************************
#11 Lionel Messi
Total earnings: $39 million
MANCHESTER UNITED RICHEST TEAM
Jarida maarufu la kimarekani la Forbes leo hii limetoa tena listi ya vilabu vya michezo yote vyenye thamani kubwa duniani, na kwa mara nyingine tena pamoja na kutochukua kombe lolote msimu uliopita na kutolewa mapema kwenye ligi ya mabingwa wa ulaya Manchester United imeendelea kushika usukani mwa vilabu tajiri duniani huku ikifuatiwa na Real Madrid.
Timu nyingine za mchezo wa soka zilizopo kwenye Top 10 ni Barcelona .
#1 Manchester United ($2.23 billion)
#3 New York Yankees ($1.85 billion)
#5 Washington Redskins ($1.56 billion)
#6 New England Patriots ($1.4 billion)
#9 New York Giants ($1.3 billion)
sc:shaffidauda.com





No comments:
Post a Comment
hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you