WAJUA BOTI ILIYOZAMA ILITENGENEZWA LINI? SOMA HAPA. NA PICHA ZAIDI.
| Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika boti iliyozama leo. Hawa ni baadhi ya waliosalimika |
| Abiria waliookolewa kutoka katika boti iliyozama ya Skagit katika eneo la Chumbe Zanzibar leo. |
| Abiria aliyenusurika kutoka katika boti ya Skagit iliyozama leo |
| Abiria aliyenusurika katika boti iliyozama ya Skagit akifarijiwa na jamaa zake baada ya kuteremka katika boti iliyowaokoa. |
| Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad akiwa katika hali ya huzuni baada ya kushiriki katika uokoaji na kuwaona majeruhi waliookolewa katika boti iliyozama ya Skagit wakiteremka bandarini Zanzibar. |
Askari wa vikosi mbalimbali wakiwa katika kazi ya uokozi kwa abiria waliokuwa katika boti ya Skagit iliyozama Zanzibar leo.
Picha zote na Yussuf Simai Maelezo
|
| Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar Dk Mwinyihaji Makame akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na kuzama kwa Meli ya Skagit katika eneo la Chumbe Zanzibar. |
| Wananchi mbalimbali wakishuhudia tukio la kuokolewa watu waliozama na meli ya Skagit leo. |
| Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi akiwa katika eneo la bandari akishuhudia kuletwa kwa majeruhi na miili ya waliozama Zanzibar leo |
| Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Amer Kificho pamoja na mawaziri mbalimbali wakiwa katika eneo la bandari leo |
| Majeruhi aliyeokolewa katika boti ya Skagit iliyozama leo |
| Majeruhi wakipatiwa mablanketi kwa ajili ya kujihifadhi baada ya kuokolewa katika boti ya Skagit leo |
No comments:
Post a Comment
hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you