Monday, October 1, 2012

ZA BONGO CELEBRITY


WOLPER AHOFIA KUUAWA


Jacqueline Wolper Masawe.


SIKU chache baada ya mwigizaji ‘classic’ Bongo, Jacqueline Wolper Masawe kumlipua mchumba’ke, Abdallah Mtoro ‘Dallas’, inadaiwa kuwa mwigizaji huyo anaishi kwa ‘machale’ akihofia kuuawa kutokana na ukweli wa maisha yao aliouanika gazetini, Ijumaa Wikienda limeelezwa.

Kwa mujibu wa chanzo makini, Dallas hakufurahishwa na sentensi za Wolper ambazo alizielekeza kwake huku akidai amemdhalilisha aliposema kuwa jamaa huyo hana chake na anatembea na nguo zake katika gari ili muda wowote amkabidhi.…

Na Gladness Mallya

BAADA ya kumpiga na kumjeruhi Mpigapicha wa Runinga ya Taifa ya TBC1, Moses Friday na kisha kujisalimisha katika Kituo cha Polisi cha Mabatini, Kijitonyama jijini Dar, mwigizaji Single Mtambalike ‘Richie’ (pichani) anajutia kitendo hicho, Ijumaa Wikienda linaanika mbivu na mbichi.

Kwa mujibu wa msanii mmoja aliyeenda kumtembelea Richie kituoni hapo, alitonya kuwa msanii huyo anajutia kitendo alichokifanya baada ya polisi kumzuia rumande mpaka Moses atakapopona.

Hata hivyo, jitihada za baadhi ya wasanii kwenda kwa ndugu wa Moses kumuombea msamaha Richie ziligonga mwamba baada ya familia…

No comments:

Post a Comment

hey! whats up! we are happy to attend that lever we need your help by contribute with idea and other things. thank you

Featured Post

RDC-Election : élections en 2017 ou sanctions de l’UE

Comme annoncé il y a quelques jours, les ministres des Affaires Etrangères des 28 Etats membres de l’UE (Union Européenne) s...